Askofu Kilaini aongoza na kucheza wimbo wa Shukrani.
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2022-01-23
Просмотров: 17931
Ni Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini, alipoongoza na kuimba wimbo wa Shukrani katika Misa ya uzinduzi wa Kigango cha Kyamala katika Parokia ya Kilimilile Jimbo Katoliki la Bukoba January 22/ 2022.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: