WATOTO WA KIPAPA WALIVYOIMBA HOSANA ... KWA KILATINI JIMBO LA IRINGA
Автор: PMS IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2026-01-05
Просмотров: 14
Mpenzi mtazamaji wetu karibu katika chaneli hii amabyo inamilikiwa na Shirika la Kipapa Mtoto Yesu Jimbo la Iringa ikiwa ni maalumu kabisa kwa ajili ya matukio ya Shirika la kipapa Mtoto Yesu Jimbo la Iringa.
Katika chaneli hii tutakuwa tukikuletea matukio mbalimbali yanayofanyika katika Jimbo la iringa kuhusiana na watoto kama vile semina, warsha, makongamano kuhusu watoto pia nyimbo mbalimbali ambazo zinaimbwa na watoto.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu na.-: 0753084515, Pd. Aidan Ulungi;Mkurugenzi wa PMS Jimbo la Iringa
0758107514, Pd. Steven Msigwa, Mkurugenzi Msaidizi PMS Jimbo la Iringa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: