Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evas Mtambi ambana mkandarasi
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-06-19
Просмотров: 494
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evas Mtambi amemtaka mkandarasi anayejenga na kukarabati uwanja wa Ndege wa Musoma kuongeza kasi ya ujenzi kutokana na umuhimu wa uwanja huo, ambao kwa sasa umefikia asilimia 57 ya ujenzi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: