Loice Dama - Nimesamehewa (Official Music Video)
Автор: loice Dama Official
Загружено: 2024-03-26
Просмотров: 19792
Video filmed by @mmp_studios_ke
Tumenunuliwa kwa bei ghali
Nayo ni damu ya Yesu Kristo
Imetupatanisha pamoja na Mungu wa mbinguni
Ambaye ni baba wa mataifa yote
Nimenunuliwa kwa damu ya bei ghali
Ni damu ya thamana, ya bwana Yesu
Sina wasiwasi, popote napo enda
Nimefichwa mimi, ndani ya damu yake
Nayo magonjwa
Magonjwa sio sehemu yangu
Laana na mikosi
Nayo mikosi, sio sehemu yangu
Kwa maana nimefichwa, ndani ya damu yake
Ooh kwa hiyo damu, nimepatanishwa
Na baba yangu, wa mbinguni
Kwa hiyo damu, nimehesabiwa haki
Ninaitwa mwana, wake Mungu
Tena ni murithi, pamoja naye
Kwa damu yako imetufanya tumesamehewa thambi
Kwa damu yako imetufanya tunaitwa wana
Kwa damu yako tumepatanishwa pamoja naye
Nakwambia nimesamehewa
Nimesamehewa
Kwa kweli nimesamehewa
Nimesamehewa
Oohh nimesamehewa kwa damu yake
Nimesamehewa
Mbona mnanihukumu mie
Nimesamehewa
Damu ya Yesu imenisamehe thambi
Nimesamehewa
Aah nimesamehewa mie
Nimesamehewa
Nakwambia nimenunuliwa kwa damu yake
Nimenunuliwa
Ahh nimenunuliwa kwa damu ya thamana
Nimenunuliwa
Ahh Nimenunuliwa
Nimenunuliwa
Wapendwa tumesamehewa sie
Tumesamehewa
Hatuko chini ya laana tena
Nimesamehewa
Sasa tunaitwa wana wa Mungu aliye hai
Nimesamehewa
Aah tunaitwa wana
Nimesamehewa
Tumepatanishwa na baba
Nimesamehewa
Ooh tumesamehewa
Nimesamehewa
Nafurahia msamaha wake baba
Nimesamehewa
Aah siko chini ya laana tena
Nimesamehewa
Ooh nimesamehewa
Nimesamehewa
Wapendwa nimenunuliwa
Nimenunuliwa
Sasa ninaitwa mwana
Nimenunuliwa
Eeh tunaitwa wana wa Mungu
Nimenunuliwa
Eeh tumesamehewa
Nimesamehewa
Haleluya
Nimesamehewa
Asante Bwana
Nimesamehewa
Kwa msamaha wako
Nimesamehewa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: