POLISI: KIFO CHA MC PILIPILI HAKIKUWA CHA KAWAIDA, WATHIBITISHA MC PILIPILI AMEUAWA
Автор: Capital Digital
Загружено: 2025-11-19
Просмотров: 450
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kifo cha Mshereheshaji na Mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias (MC Pilipili), mkazi wa Swaswa, aliyefariki Novemba 16, 2025 majira ya saa 9 alasiri katika Hospitali ya Ilazo, kuwa kilitokana na kushambuliwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu ambao bado hawajafahamika.
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) William Abel Mwamafupa ametoa taarifa hiyo leo Novemba 19, 2025 jijini Dodoma, na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea na mara watuhumiwa watakapopatikana watatiwa nguvuni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: