SHIRIKA LA MONTESSORI LAANDAA MDAHALO KARATU KUHUSU NAFASI YA MWANAUME KATIKA MALEZI YA MTOTO
Автор: Afri Pic
Загружено: 2025-10-19
Просмотров: 45
Montessori Community of Tanzania (MCT) imeandaa mdahalo kuhusu malezi ya mtoto, wenye mada:
“Umuhimu wa Ushiriki wa Wanaume Katika Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Mtoto.”
Mdahalo huu unalenga kuhamasisha majadiliano ya kina kuhusu nafasi ya baba katika safari ya ukuaji wa mtoto, sambamba na kukuza ushirikiano wa wazazi katika malezi jumuishi.
Tujumuike kujifunza, kushirikiana, na kuchochea mabadiliko chanya katika jamii zetu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: