Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA MKOANI TANGA

Автор: TANROADS HQ

Загружено: 2024-03-05

Просмотров: 2877

Описание:

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA MKOANI TANGA.

Serikali ya awamu ya Sita kupitia (TANROADS) inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimakati ya ujenzi wa barabara Mkoani Tanga ambayo ikikamilika itaunganisha Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuchochea ukuaji wa uchumi ikiwa ni pamoja na kupunguza gharama na muda wa safari na kurahisisha ufanyaji biashara.

Pia itawezesha wananchi kuchangamana kwa urahisi, kuwezesha kufikika kwa urahisi kwenye vivutio vya utalii, kuwa kiungo kizuri kati ya bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mombasa na hivyo kuchochea uchumi wa Buluu.

Akuzungumza na Waandishi wa Habari tarehe 4 Machi 2024; Meneja wa TANROADS Mkoa wa Tanga Mha. Dastan Singano amesema miradi hiyo ni pamoja na ule wa ujenzi wa kiwango cha lami Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) – Mkange – Pangani – Tanga yenye jumla ya urefu wa kilomita 256 ambayo ni sehemu ya Barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayounganisha nchi mbili za Kenya na Tanzania kwa ukanda wa Pwani.

Mwingine ni Ujenzi wa barabara ya Handeni – Kiberashi – Kijungu – Chemba – Kwamtoro – Singida (km 434.33) kwa kiwango cha lami, ambao unatekelezwa na Serikali ya awamu ya Sita Chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa awamu; awamu ya kwanza ni ya ujenzi wa Sehemu ya Handeni – Mafuleta km 20; awamu ya pili, ujenzi wa Sehemu ya Mafuleta – Kileguru km 30 na awamu ya tatu ni kutoka Kileguru – Kiberashi – Kijungu – Chemba – Kwamtoro – hadi Singida km 384.33 ambayo itajengwa kwa mfumo wa EPC+F.

Akizungumzia mradi wa Bagamoyo (Makurunge) – Mkange – Pangani – Tanga Mha. Singano amesema unatekelezwa katika sehemu nne, Sehemu ya Kwanza Tanga – Pangani (Km 50), Sehemu ya Pili, Daraja la Mto Pangani lenye urefu wa mita 525 na barabara unganishi za maingilio ya daraja zenye jumla ya urefu wa km 14.3, barabara ya Ushongo km 5.9 na Barabara za Pangani mjini zenye urefu wa km 5.4, na Sehemu ya tatu ni Mkange – Mkwaja – Tungamaa km 95.2, ikijumuisha barabara unganishi ya Kipumbwi yenye urefu wa km 3.7 ( Sehemu ya nne bado haijaanza).

Ameeleza "Kwa upande wa barabara ya Tanga – Pangani ujenzi ulikuwa unasuasua lakini baada ya Mhe. Rais samia kutoa fedha mwezi Januari 2024 zimemfanya Mkandarasi kupata nguvu ya kutekelezaji mradi ule kwa kasi’’.

Amesema pia Serikali ya awamu ya sita ina mpango wa kujenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mkata – Kwa Msisi km 36, barabara ya kutoka Old Korogwe kwenda Bombomtoni mpaka Mabokweni km 127, barabara ya Soni - Bumbuli – Dindira – Korogwe km 30 na barabara ya Handeni kwenda Mziha ambayo tayari Serikali imeshatoa kibali cha kuanza ujenzi wa km 20.

“Kwa kweli hizi ni juhudi za pekee anazozifanya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha mtandao wetu wa barabara Tanga unakuwa vizuri, tunamshukuru sana, kwa sababu yeye kwa kuleta fedha za utekelezaji wa miradi hii imeleta fursa, kuna ajira ambazo zimezalishwa ambazo wamezipata Watanzania" amesisitiza

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA MKOANI TANGA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MAKALA MAALUMU: TECU YAKAMILISHA UJENZI MRADI WA KUFUA UMEME - JNHPP

MAKALA MAALUMU: TECU YAKAMILISHA UJENZI MRADI WA KUFUA UMEME - JNHPP

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

MWANZO - MWISHO UTEKELEZAJI UJENZI BARABARA YA PANGANI

MWANZO - MWISHO UTEKELEZAJI UJENZI BARABARA YA PANGANI

Mradi wa Ujenzi wa Stendi ya Kisasa Tabora Waendelea kwa Kasi

Mradi wa Ujenzi wa Stendi ya Kisasa Tabora Waendelea kwa Kasi

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA  -DAR- ES SALAAM

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA -DAR- ES SALAAM

#LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA KIYEGEA MKOANI MOROGORO

#LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA KIYEGEA MKOANI MOROGORO

Ni Tanzania Pekee Yenye Barabara Ya #ZEGE Yenye Urefu Wa KM 50, Imejengwa Na HEAVYWEIGHT #JPM.

Ni Tanzania Pekee Yenye Barabara Ya #ZEGE Yenye Urefu Wa KM 50, Imejengwa Na HEAVYWEIGHT #JPM.

UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA WAFIKIA ASILIMIA 86

UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA WAFIKIA ASILIMIA 86

I'm Building a Free Pallet House in 129 Days in the Forest

I'm Building a Free Pallet House in 129 Days in the Forest

SERIKALI YATUMIA BILIONI 24.4 KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA PWANI

SERIKALI YATUMIA BILIONI 24.4 KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA PWANI

JUKWAA LA WAANDISHI WA HABARI WALIVYOMBANA WAZIRI MKUU MWIGULU, TUMEPOTEZA UWAMINIFU KWA WANANCHI

JUKWAA LA WAANDISHI WA HABARI WALIVYOMBANA WAZIRI MKUU MWIGULU, TUMEPOTEZA UWAMINIFU KWA WANANCHI

"Tanzania’s SGR: The New Route to Africa’s Biggest Opportunities"

UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA:  BASHUNGWA

UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA: BASHUNGWA

HII NDIO BANDARI YA KISASA ZANZIBAR

HII NDIO BANDARI YA KISASA ZANZIBAR

I could not Believe Tanzania's Modern Bus Terminus with Elevators and FREE Wifi

I could not Believe Tanzania's Modern Bus Terminus with Elevators and FREE Wifi

MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA YABADILI SURA YA TABORA KIMIUNDOMBINU YA BARABARA, MADARAJA NA UWANJA..

MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA YABADILI SURA YA TABORA KIMIUNDOMBINU YA BARABARA, MADARAJA NA UWANJA..

Места на Земле, которые кажутся нереальными! Чудеса планеты!

Места на Земле, которые кажутся нереальными! Чудеса планеты!

UJENZI WA DARAJA LA MINJINGU KATIKA BARABARA KUU YA BABATI-ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 91

UJENZI WA DARAJA LA MINJINGU KATIKA BARABARA KUU YA BABATI-ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 91

TANGA 21 Famous Streets In 2023 Raw Unfiltered Video// Ngamiani Kati

TANGA 21 Famous Streets In 2023 Raw Unfiltered Video// Ngamiani Kati

Алексей Венедиктов: «У меня нет выгоды. Я могу пойти на все». Разговор на фоне идеального шторма

Алексей Венедиктов: «У меня нет выгоды. Я могу пойти на все». Разговор на фоне идеального шторма

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]