AU na EU zaahidi kuendeleza ushirikiano na fursa zaidi | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-11-26
Просмотров: 339
Katika mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya EU na Umoja wa Afrika AU uliofanyika Luanda, Angola, viongozi wa pande zote mbili wamesisitiza mshikamano wa karibu ili kuimarisha ushirikiano wa kimkakati. Viongozi hao wameahidi kuunda daraja la fursa, maendeleo na matumaini kwa vizazi vijavyo, wakilenga masuala ya mabadiliko ya tabianchi, nishati jadidifu, amani na utawala bora. #Kurunzi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: