SITASAHAU USIKU ULE SEHEMU YA 37
Автор: RIWAYA ZA LEONARD MUBALI
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 183
Kwa sasa kesi ya Mauaji ya mzee Nyalile imeanza kusikilizwa.Ushahidi unamiminika kama maji na siri za undani wa kesi hiyo zinawekwa peupe.Mliti na Nasra wapo mahakamani lakini hawajapata muda wa kuonana,nafasi imekosekana kila mmoja amechanganyikiwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: