Msemaji wa bazalendo Afunguka Kuhusu Hali ya Usalama Luvungi, Katogota na Kamanyola
Автор: ATLAS MEDIA
Загружено: 2025-12-07
Просмотров: 7341
Katika video hii, tunakuletea taarifa rasmi kutoka kwa msemaji wa bazalendo kuhusu hali ya usalama inayoendelea maeneo ya luvungi, Katogota na Kamanyola. Tazama ujue hali halisi ya usalama, hatua zinazochukuliwa na ujumbe muhimu kwa wananchi. Usisahau ku-like, ku-comment na kusubscribe kwa taarifa zaidi kutoka ATLAS MEDIA TV.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: