MASHAMBULIZI YAMEANZA WATU WA MAULIDI WAMEMJIA JUU BACHU KWA MAONI MAZITO "UST SAIDI HUTAMUWEZA"
Автор: KHAIRIYYA ONLINE TV
Загружено: 2024-10-09
Просмотров: 6186
Leo baada ya Video ya ust Bachu kusambaa akimtaka ust saidi wakutane Tena kwa ajili ya munaqasha basi Tayari imeibua nyongo ya Wapenzi wa Mtume Muhammad (s.a.w)
Majibu mbalimbali yamemuangukia Bachu huku wengi wao wakimshauri aachane na Hizo habari kwasababu uwezo wa Ust saidi ni mkubwa na Yeye hatauweza kabisa
"Achana na ust saidi atakudhalilisha awamu hii"
Na mengine mengi Tazama video kwa kugusa link juu
... Usishau #comment #subscribe #share #like katika channel yetu ya @KHAIRIYYAONLINETV
Endelea kubaki nasi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: