Utayarishaji wa Azola , Inatumika kuandaa chakula cha Mifugo /Kuku , hupunguza gharama .
Автор: Josephat Samson Ryoba
Загружено: 2021-04-24
Просмотров: 737
Mtangazaji wetu Gojo_xgzoo alifanya mahojiano na mtayarishaji wa Azola kutoka LIZDE COMPANY LTD Bi Elisifa Sanka , kujua namna ya kuitayalisha , inavyoleta ahueni katika kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wa kuku , tazama video nzima usisahau ku subscribe like share na comments
#xgzoo #ASILITV #LIZDECOMPANY
Kwa maoni na ushauri tuandikie kwa 0753692291 au barua pepe [email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: