HALI TETE SUDAN NA HISTORIA YA 'DIVIDE AND RULE' ILIVYOWAFIKISHA HAPA!
Автор: madinidotcom
Загружено: 2025-11-07
Просмотров: 4364
Kuna hali ya dharura ndani ya SUDAN,Ripoti za mauaji , njaa na uhitaji mkubwa wa msaada wa kibinadamu unaripotiwa na wanaharakati na media za kimataifa.Ni story ya mafahali wawili ,majenerali wa jeshi ambao wamegawana nchi, lakini je? tulifikaje hapa? Makinika na Grayson Gideon ( Gee)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: