Mageuzi katika ujenzi wa barabara
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-08-17
Просмотров: 242
Kupitia mpango wa Engineering, Procurement, Construction and Financing, Tanzania inatarajiwa kuingia kwenye historia ya kujenga kwa wakati mmoja barabara za kiwango cha lami zenye jumla ya kilometa 2035 kwa gharama ya shilingi trilioni 3.7.
Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) imesema itahakikisha barabara hizo zinazojengwa kwa mfumo wa EPC+ F zinakuwa katika kiwango kinachokubalika na kinachokwenda sambamba na mahitaji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: