KWAYA KUU USCF SOCIAL SCIENCE:::::NIVUTE PENDONI
Автор: USCF KWAYA KUU SOCIAL SCIENCES - UDOM
Загружено: 2024-04-14
Просмотров: 3537
Wimbo "NIVUTE PENDONI" unaonyesha Pendo kuu la YESU kristo kujitoa kwake msalabani ili wanadamu tuokolewe. Hivyo kumfanya mwanadamu kutambua thamani ya pendo hilo, ili kuweza kumtumikia MUNGU kwa uaminifu.
1 YOHANA 4:9-
Katika hili PENDO la MUNGU lilionekana kwetu, kwamba MUNGU amemtuma mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye. Hili PENDO, si kwamba sisi tulimpenda MUNGU, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu. Amen.
MUNGU akubariki sana kwa utakayesikiliza wimbo huu, kuna baraka za MUNGU juu yako.
Kwa mawasiliano zaidi
Mwalimu:::: 0694255551
Mwenyekiti:::: 0615140613
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: