EXCLUSIVE: Kundi la TMK Family kurudi upya? KR Mulla afunguka 'hatuna ugomvi'
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-10-30
Просмотров: 7270
Tunayo Exclusive story kutokea kwa Msanii Mkongwe, KR Mulla ambapo amesema bado anaendelea kujishughulisha na muziki licha ya kuwa kundi la TMK Family kuvunjia.
KR amesema ukimya wake umelenga kuangalia soko la muziki ambapo muda si mrefu ataachia nyimbo zake, ambapo amegundua watu wanahitaji muziki wa radha kwani wa sasa umekuwa mwepesi na unafanana.
Pia KR amesema kuvunjika kwa kundi la TMK kumemuathiri yeye na mashabiki ambao wamezoea kuwaona pamoja, lakini hawana ugomvi na wanaendelea kuwasiliana.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: