Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Ferooz ft. Juma Nature - Bosi (Official Video)

Автор: Bongo Records Ltd

Загружено: 2024-10-21

Просмотров: 1841170

Описание:

LYRICS

[Verse 1: Ferooz]
Homa kali imenichachamaa mwilini
Watoto wiki ya pili wamefukuzwa ada shuleni
Na mtaani sina amani nimeandamwa na madeni
Mama watoto wahi kazini kwangu upate taarifa
Kama kuna msaada wowote bosi anaweza kupa aaaaaah Alfajiri iliofuata Mama akajidamka
Tukaagana vizuri, kazini kwangu akaibuka
Kufika pale bila ya kuipoteza mida
Akaingia ofisini na kuanza kueleza shida
Okay okay Bosi akamkubalia
Na fedha akampatia, Kumbe tayari alikuwa ameshamzimia Ili kumkoleza, fedha akamuongeza
Katika maongezi maongezi boss akamtongoza
Mama akiangalia hali aliyoiacha nyumbani
Ni dhiki kubwa ambayo kwakweli hakuitamani
Na kama unavyoelewa mapenzi ya sikuhizi
Alisha ahidiwa atagharamiwa yote matumizi
Ikibidi akubali tena bila kipingamizi
Baada ya kupita kipindi mapenzi yakaanza Shamiri
Huku kabwela mimi sina hile wala hili
Bosi akaanza kunipa safari nyingi za kikazi
Ili nikiondoka apate nafasi ya kumwaga radhi
Hadi kufika hapo mi sikuelewa
kama kuna picha ninayochezewa
Wafanyakazi wenzangu wakaja nishtua
Kwamba sikuhizi wife wako bosi anamchukua
Kwakuwa nilimuamini sana wife nilibisha
Lakini baada ya kuchunguza nikaja hakikisha
Nikamwambia mama watoto ila akakataa
Nikimueleza bwana mkubwa itakuwa kizaa zaa, Itakuwa kizaa zaa
[Chorus: Ferooz]
Wanasema sikubali bora niangamie Wengine wanasema heri nivumilie Kwengine wapi ntapata ajira nambie
Na elimu yangu ndo vile mwenzangu na mie Watoto wataishi kwenye yapi mazingira Nikimwambia bwana mkubwa ntaikosa ajira

[Verse 2]
Taswira yangu ilipoanza kukosa mwangaza
Na Afya ikaanza dhohofika kwaajili ya kuwaza
Hata muda mrefu hauchukua,
nikazidi kuchanganyikiwa nilivyogundua
Nilivyogundua kwamba,
Laazizi wangu waridi la maisha amebeba mimba kwenye mazingira yalionitatanisha
Jiujezi mbwiga aliekosa wazazi, nikashindwa kula wala kupata usingizi
Nikawa nakesha, nikimuomba manani anijalie muelekeo
Huku nikivuta subra kusubiri matokeo
Dah Ila sikuamini yangu macho, ilipofika kipindi ambacho
Wife wangu alipojifungua ujauzito
Kuzaliwa mtoto kafanana na yule kizito
Akili ikanituma nichukue panga au rungu
Ili niende kumdhuru yule mtoto kwa uchungu
Nahisi malaika wakapooza jazba zangu
Na kunikumbusha kuwa kile ni kiumbe cha Mungu
Baada ya kupita siku tatu wakaja wafanyakazi Wenzangu
Eti kunipa pongezi wakiwa na yule bosi wangu

Machungu yalinijaa moyoni, lakini nilishindwa nifanye nini Nikimuharibia bosi ntafukuzwa kazini
Wadhifa wake wafanya apate ninyanyasa
Nami kuishi hivyo nafsi yangu inakataa
Nachohofia endapo kazi nitaikosa
Watoto wataishi vipi naomba ushauri wa kufuata Mwenzenu mimi, mwenzenu mimi
[Chorus: Ferooz]
Wanasema sikubali bora niangamie
Wengine wanasema heri nivumilie
Kwengine wapi ntapata ajira nambie
Na elimu yangu ndo vile mwenzangu na mie Watoto wataishi kwenye yapi mazingira Nikimwambia bwana mkubwa ntaikosa ajira Wanasema sikubali bora niangamie
Wengine wanasema heri nivumilie
Kwengine wapi ntapata ajira nambie
Na elimu yangu ndo vile mwenzangu na mie Watoto wataishi kwenye yapi mazingira Nikimwambia bwana mkubwa ntaikosa ajira

[Verse 3: Juma nature]
We feruzi muharibie, muharibie uyo, mkate kidevu
Boss mkurugenzi kitambi meneja
Usione tumekonda ukadhania mateja
Sasa ndo umemfanya nini mfanyakazi mwenzetu?
Si umemchukulia mkewe ndoman analalamika
Au kuna jingine Ferooz hataki kuwajibika
Sikiliza mwanangu feruzi, hapa hatoki mtu
Ukisema umuache utakuwa umeidhulumu nafsi
Yani najiskia vibaya kwanini huyu bosi hafi
Ananiudhi
Feruzi mharibie, mbona unasita sita?
Feruzi mkate kidevu mzee, Au unamuogopa?
[Ferooz]
Naweza, Hivyo naweza, ninachohofia familia kuiteketeza
Nyumba ninayokaa ni mali ya shirika
Nitaenda ishi wapi bosi akikasirika?
Ukoo mzima mimi unanitegemea, na mimi kazini pale ndo nilipoegemea Kutokana na unyama bosi alionitendea
Wengine wanashauri hata kwa mganga ningemwendea

[ferooz]
Ooooh oooh hapana, hapana, hapana
Hivyo ndo utaharibu kabisa, hivyo ndo utaharibu kabisa
Nishaishi vipi kama mtumwa anaekosa Uhuru
Akati mie hali hio binafsi inanidhuru
Kitu kinachoniongeza mimi machungu Kubambikiwa mtoto ambae si damu yangu

Eeeh mola nisaidie
Nipo kwenye janga la utata, nipo kwenye janga la utata [Chorus: Ferooz]
Wanasema sikubali bora niangamie
Wengine wanasema heri nivumilie
Kwengine wapi ntapata ajira nambie
Na elimu yangu ndo vile mwenzangu na mie
Watoto wataishi kwenye yapi mazingira
Nikimwambia bwana mkubwa ntaikosa ajira


Audio produced by:   / majani187  
Mixing and Mastering by:   / majani187  
Video directed by:   / majagiking  



#ferooz #jumanature #bosi

Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

DAZ NUNDAZ-BARUA

DAZ NUNDAZ-BARUA

DJ SMA amkemea vikali CLEMENCE MWANDAMBO unadhalulilisha DINI VIONGOZI KIMYA / SADAM HUSSEIN..

DJ SMA amkemea vikali CLEMENCE MWANDAMBO unadhalulilisha DINI VIONGOZI KIMYA / SADAM HUSSEIN..

Juma Nature - Mtoto Iddi (Visualizer)

Juma Nature - Mtoto Iddi (Visualizer)

December 27, 2025

December 27, 2025

GWAJIMA AFICHUA SIRI HII USIYOIJUA ''WALINITUMIA MESEJI USIENDE'' ATUMA UJUMBE MZITO

GWAJIMA AFICHUA SIRI HII USIYOIJUA ''WALINITUMIA MESEJI USIENDE'' ATUMA UJUMBE MZITO

Джем – Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)

Джем – Ferooz ft. Juma Nature - Bosi (Official Video)

Ferooz - Wema Umeniponza ( Official Video)

Ferooz - Wema Umeniponza ( Official Video)

Inaniuma Sana

Inaniuma Sana

OffSide Trick ft Bi Kidude Ahmada (Official Music Video)

OffSide Trick ft Bi Kidude Ahmada (Official Music Video)

Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani (Visualizer)

Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani (Visualizer)

Big Fizzo - Leave me Alone (OFFICIAL VIDEO)

Big Fizzo - Leave me Alone (OFFICIAL VIDEO)

Inaniuma sana - Juma nature (HQ audio)

Inaniuma sana - Juma nature (HQ audio)

Barua

Barua

Dar mpaka  moro (wanaume family

Dar mpaka moro (wanaume family

Darassa feat Mbosso - Looking For Love (Visualiser)

Darassa feat Mbosso - Looking For Love (Visualiser)

Afande sele - Nitarudi vipi/ Nitarudi na roho yangu

Afande sele - Nitarudi vipi/ Nitarudi na roho yangu

Nipe Tano

Nipe Tano

FEROOZ AWALIZA WENGI AIMBA LIVE KAMANDA YA DAZ NUNDAZ ALAZWE PEMA PEPONI KAMANDA....

FEROOZ AWALIZA WENGI AIMBA LIVE KAMANDA YA DAZ NUNDAZ ALAZWE PEMA PEPONI KAMANDA....

DOGO JANJA FT.IINDA VIDEO

DOGO JANJA FT.IINDA VIDEO "Anajua" Emptysoulz Production

Dulla Makabila - Makabila (Official Video)

Dulla Makabila - Makabila (Official Video)

© 2025 dtub. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]