Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Paradigms kinavyotekeleza SDGs nchini Tanzania
Автор: Habari za UN
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 156
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
Upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni miongoni mwa vipaumbele vya Umoja wa Mataifa kupitia Lengo namba 7 la Malengo ya Maendeleo Endelevu. Huko Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, kikundi cha vijana kutoka Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Paradigms kimebuni suluhu ya kuchakata taka za plastiki na kuzibadili kuwa nishati safi ya kupikia ya gesi. Sabrina Saidi wa idhaa hii amefanya mahojiano na kiongozi wa mradi, Mhandisi wa Kemikali Amasha Kyando, pamoja na mmoja wa vijana wanaoshiriki mradi huo, wanaeleza namna ubunifu huo unavyosaidia kupata nishati safi na kulinda mazingira.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: