KUMECHACHA TANZANIA! HOFU YA UCHAWI NA USHIRIKINA UKEREWE, MWANZA
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2025-12-20
Просмотров: 359
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za kufanya ushirikina na uchawi katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Kamamda wa polisi Mkoa wa Mwanza Wilbroad Mutafungwa amesema watu hao wanaendelea kuhojiwa na polisi na uchunguzi utakapokamilika watafikishwa mahakamani.
Akizungumza kwenye mkutano uliowakutanisha viongozi wa Serikali, dini na wananchi, DCP Mutafungwa amesema jukumu la kudumisha amani ni la kila mmoja, hivyo kila mtu anapaswa kushiriki kikamilifu kukemea vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyofanywa na watu wanaojiita wataalam wa kusaka wachawi maarufu kama ‘Kamchape’.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: