Kipi Bora Zaidi Kwa AFYA -- NYAMA au DAGAA
Автор: Doctor Daniel
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 5444
Dagaa au Nyama? Kipi bora zaidi kwa afya yako?
Katika video hii nimeeleza tofauti 10 za kiafya kati ya dagaa na nyama kwa lugha rahisi ya kueleweka. Utajifunza ipi ni bora kwa moyo, ubongo, kinga ya mwili na afya kwa ujumla.
👉 Tazama hadi mwisho ujue ukweli ambao wengi hawasemi.
💬 Comment: Wewe unapendelea dagaa au nyama?
🔔 Subscribe kwa elimu zaidi za afya.
#Dagaa
#Nyama
#daniel
#drdaniel
#Afya
#LisheBora
#Chakula
#ChakulaNaAfya
#AfyaKwanza
#DoctorTalk
#ElimuYaAfya
#HealthTips
#Nutrition
#HealthyEating
#SwahiliYouTube
#Tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: