NIKIKUMBUKA ZAMANI
Автор: Shem Kabanza
Загружено: 2021-01-29
Просмотров: 7899
185.NIKIKUMBUKA ZAMANI
1 Nikikumbuka zamani nilipokua
muovu; Nilicheza na shetani katika
uchafu wote. Tazama Neno la Bwana
lilipongia kwangu ; Hakika ninayo
raha naserna sirudi nyuma
Siliache Neno nasema sirudi nyuma:
(Ts) siachii Neno lake Bwana
hatawaache, Wengi mimi sitaacha
(x2) . Ni wengi wamechoka
(Ts) Hata waache wengi mimi
Sitaacha (x2), Wengi wamezarau
(Ts) Hata waache wengi mimi
Sitaacha (x2), Mimi nitamwimbia
(Ts) Hata waache wengi mimi
Sitaacha (x2), Hata kwenyi mawimbi
(Ts) Hata waache wengi mimi
Sitaacha (x2)
2. Marafiki wanicheka wanishawishi
niache; Neno la mwokozi Yesu
nasema sirudinyurna; Shetani
anitumia mateso na ziki kubwa
Na yote navumilia, lakini siachi Neno
3. Faida niliyopata nilipoamini, Neno ;
Nilipewa tumaini ni turnaini la uzima.
Uzuri wa Neno hili, ni Neno lenye
uzima, Wote walioamini wapewa
uzima tele.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: