Ufahamu ugonjwa wa kifafa: SEHEMU YA PILI
Автор: Habari za UN
Загружено: 2019-07-07
Просмотров: 1587
Tafiti za shirika la afya duniani zinasema takriban watu milioni 50 kote duniani wanaishi na ugonjwa huo unaotokana na athari katika mfumo wa umeme wa ubongo.
Je unafahamu kuwa kuna aina mbalimbali za kifafa?
Na Je ugonjwa wa kifafa unatibika?
Daktari bingwa wa upasuaji wa ubongo Juma Magogo Mzimbiri katika mahojiano na Arnold Kayanda, anatoa majibu ya maswali hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: