MADIWANI WAPOKEA TAARIFA UTEKELEZAJI SHUGHULI
Автор: MASASI ONE ONLINE TV
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 71
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara limepokea taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu kumbukumbuku ya maamuzi ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri zilizofanyika kipindi ambcho baraza la Madiwani lilikuwa limevunjwa.
Taarifa hiyo ilisomwa na afisa Mipango wa Halmashauri hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi huyo, Alphaxard Etanga, mkutano huo wa baraza ulifanyika katika ukumbi wa Halmahauri hiyo.
Katika taarifa hiyo mambo mbalimbali yameainishwa ambayo yametekelezwa katika kipindihicho ambacho baraza halikuwepo ikiwemo ununuzi wa basi la Halmashauri aina ya TATA lililogharimu jumla ya Sh.milioni 155
Aidha, Madiwani wamempongeza Mkurugenzi wa Halmahauri kwa ununuzi wa basi hilo na kueleza kwamba hatua hiyo imetekeleza maazimio yao ambayo walikuwa wameyaasha kipindi wanamaliza kipindi chao cha udiwani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: