Waziri Mkuu Majaliwa atembelea Mlandizi mkoa wa Pwani
Автор: MUHIDIN MICHUZI
Загружено: 2016-11-20
Просмотров: 1893
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 18 kwa Mkandarasi wa umeme kwenye kiwanda cha Kiluwa Steel Group awe amemaliza kazi ya kuweka ume mkubwa ili kiwanda hicho kianze kazi.
Ametoa agizo hilo
jana (Jumamosi, Novemba 19, 2016) wakati akizungumza na wananchi na viongozi mbalimbali wa Serikali na wa Mkoa wa Pwani waliofika kiwandani hapo eneo la Mlandizi wakati akikagua utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa Julai 12, mwaka huu alipozuru kiwanda kwa mara ya kwanza.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: