CHEKECHE | Iran na Israel - Vita mpya au ina mizizi mirefu?
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-06-14
Просмотров: 116989
Baada ya Israel kuanza mashambulizi dhidi ya Iran kisha taifa hilo kujibu kwa mashambulizi ndilo jambo tunalolitazama kwenye CHEKECHE Jumamosi ya leo.
Je, kihistoria ugomvi huu unasababishwa na nini? Je, maneno ya Benjamin Netanyahu kwa raia wa Iran yana umuhimu gani?
Ungana na Moses Kwindi na Ibrahim Rahbi kufahamu mengi zaidi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: