DCI inamhusisha Jaji Sankale Ole Kantai na mauaji ya Tob Cohen
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-09-27
Просмотров: 16492
Idara ya upelelezi wa jinai inamhusisha Jaji Sankale Ole Kantai na mauaji ya raia wa uholanzi Tob Cohen miaka miwili iliyopita. Kulingana na DCI, uchunguzi wa mawasiliano ya simu, barua pepe na hata mtandao wa kijamii wa whatsapp umeonyesha kuwa Jaji Sankale alimshauri Sarah Cohen, mshukiwa wa mauaji hayo na kwamba alifahamu kuhusu njama ya mauaji kwani mawasiliano yao yamekuwepo, kabla, wakati na hata baada ya mauji ya Tob Cohen.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: