JEE MTUME ALIKUA ANAJUA MAJINA YA WANAFIKI? QURAN YAJIBU!
Автор: USTADH HUDHEIFA
Загружено: 2025-08-27
Просмотров: 92
Je, kweli Mtume Muhammad ﷺ aliwajua wanafiki mmoja mmoja?
Vitabu vya riwaya vinasema hivyo, lakini Qur’an inatufundisha jambo tofauti kabisa. Qur’an imeweka wazi kwamba Mtume hakuwa na uwezo wa kujua wanafiki kwa majina, bali ni Allah pekee ndiye anayejua siri za mioyo.
Katika video hii tunachambua:
Aya za Qur’an zinazothibitisha Mtume hakuwajua wanafiki.
Jinsi riwaya za uongo zinavyopingana na Qur’an.
Umuhimu wa Qur’an kama kipimo cha haki.
Ukweli huu ni ushahidi kwamba Waislamu wanapaswa kurejea moja kwa moja kwenye maneno ya Allah badala ya kushikamana na riwaya zinazopingana nayo.
👉 Tafadhali subscribe, like na share ili tuendelee kuelimishana kwa mwanga wa Qur’an.
#elimuyadini #wanafiki#quran
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: