MFUMO WA UZAZI-MAOMBI YA UKUAJI WA MTOTO WIKI KWA WIKI
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2020-06-23
Просмотров: 11887
“Je! Mimi nilete wana karibu na kuzaliwa, nisizalishe? Asema BWANA; mimi nizalishaye, je! Nilifunge tumbo? Asema Mungu wako.”
ISA. 66:9 SUV
Praise the Lord Wapendwa...
Mungu ni mwema sana na ametupa neema ya kuendelea na maombi yetu juu ya MFUMO WA UZAZI,
Na leo tutakua na maombi juu ya UKUAJI WA MTOTO AKIWA TUMBONI KWA MAMA WIKI KWA WIKI,
Tutaomba kila wiki mpk zitimie ili kila kinachotakiwa kuumbika kiumbike na kama kuna stage ilirukwa kwenye uumbaji basi nayo ikakamilike kabisa,
Wamama wote wajawazito haya maombi ni muhimu sana myaombe kila siku mpaka muda wa kujifungua
Wasichana na wamama ambao bado endelea kuomba kaka akiba ukiweza hazina yako ya baadae.
Kumbuka;HUU NI MWISHO WA UTASA KWAKO,
Min.Mocky
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: