Rais Magufuli ambananisha Mhandisi wa Maji Njombe.
Автор: Capital Digital
Загружено: 2019-04-11
Просмотров: 9134
Rais Magufuli ambananisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe na Mhandisi wa Maji, baada ya kijana Albert mkazi wa Manga Njombe kuonesha bango lake lililokuwa linalalamikia upatikanaji duni wa maji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: