JINSI YA KUPIKA WALI WA BINZARI YA MANJANO
Автор: Misosimitamu
Загружено: 2024-04-26
Просмотров: 2141
Wali wa binzari ya manjano (Wali wa manjano), ni chakula rahisi kupika, ambacho unaweza kukipika kwa muda mfupi sana wa ndani ya dakika 30 tu. Wali huu hupikwa kwa kutumia mchele pamoja na viungo mbalimbali kama vile binzari ya manjano. Wali huu wafaa kula pamoja na mboga, kuku wa kuchoma, maharage au mishikaki. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kupika wali huu wa binzari ya manjano.
MAHITAJI
Binzari ya manjano 1 1/2 kijiko cha chai
Iriki ya maganda punje 8
Chumvi 1 kijiko cha chai
Maji ya moto au supu 600 ml
Samli 1 1/2 tbsp
Kitunguu 1 kilichokatwa
Mchele 400 g
Majani ya Bay leaves
#waliwamanjano #jinsiyakupikawaliwamanjano #waliwabinzarimanjano #waliwamanjanowakukaanga
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: