GIDI NA GHOST ASUBUHI - Gidi anasema hatazamii kuacha utangazaji hivi Karibuni
Автор: Victor Wetende
Загружено: 2016-08-12
Просмотров: 76716
Wengi wanijua sauti yake lakini wengine hawajui sura yake.Kutana na mtangazaji mahiri GIDI wa Idhaa ya Radio Jambo akikwambia alivyojikuta katika utangazaji.... Victor Wetende anamhoji kuhusu mengi usiyojua kumhusu ktk #KikaoAlhamisi kwenye runinga ya Ebru Tv Kenya...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: