TAMKO LA SERIKALI KWA MATAIFA KINACHOENDELEA NCHINI | RAIS SAMIA KUMALIZANA NA WALIO WACHACHE
Автор: GREEN FM TV
Загружено: 2025-11-08
Просмотров: 365
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema itaanzisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano ili kuimarisha umoja, amani na mshikamano wa kitaifa, Makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema.
Akizungumza kwa niaba ya Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao akiwa mkoani Dodoma, Dk. Nchimbi amesema serikali imejizatiti kuhakikisha Watanzania wanaendelea kuishi kwa utulivu na chini ya misingi ya utawala wa sheria.
“Ni dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha tunaanzisha mazungumzo ya maridhiano ili hata hao wachache wanapata nafasi ya kusikilizwa na kuwa na taifa lenye amani na utulivu,” amesema Dk Nchimbi akiwashukuru viongozi wa SADC.
Get vidIQ to grow your channel faster! 🚀
https://vidiq.com/GREENFMTV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: