PESA ZA NYOKA | Simulizi ya uchawi na kusisimua
Автор: story za santo
Загружено: 2025-10-05
Просмотров: 29438
PESA NA UTAJIRI WA NYOKA – Simulizi ya Kweli jinsi kijana maskini alivyoibadilisha maisha yake
Hii ni simulizi ya kusisimua kuhusu Juma, kijana maskini wa Dar es Salaam aliyeteseka pamoja na mama yake kwa muda mrefu. Katika harakati za kutafuta maisha bora, walimuendea mganga aliyewapa masharti magumu: kumlisha nyoka mkubwa wa kijani kila siku kwa damu na sadaka. 🐍
Baada ya kukubali masharti, maisha yao yakabadilika ghafla – nyumba ya udongo ikawa jumba la kifahari, umasikini ukatoweka, na pesa zikaanza kumiminika kutoka kwa nyoka huyo. Lakini furaha yao haikudumu… tamaa na masharti ya giza yalikuja na gharama kubwa ambayo haikuweza kufutwa.
Hii ni hadithi ya tamaa, uchawi, na matokeo ya kutafuta njia za mkato za utajiri.
Je, ungechagua nini ukipewa nafasi kama ya Juma?
Usisahau kusubscribe ili usipitwe na simulizi zingine kali zaidi!
Pia share na marafiki zako wapate funzo kubwa kutoka simulizi hii.
#SimuliziZaKusisimua #SimuliziZaKutisha #UtajiriWaNyoka #Storytelling #Narrative #HorrorStoryAfrica #simulizizakweli #SimuliziZaKutisha #pesazakichawi #utajili
simulizi mpya,simulizi kali,utajiri wa nyoka,simulizi za uswahilini,storytelling africa,hadithi za kusisimua Simulizi,Simulizi mix,Simulizi za kutisha,Simulizi za ankojay,Simulizi za kiswahili,Simulizi za mapenzi za kusisimua,Simulizi na sauti,Simulizi forum tv,Simulizi za mapenzi,Simulizi za kusisimua,hadithi,simulizi za salma,simulizi za sauti,hadithi za makanaki,simulizi forum tv,kim story tales,simulizi za maria,story za moric,african simulizi,swahili fairy tales,swahili animation,simulizi za kenya,clamvevo,Dunia,Professor,movie recap swahili,Kiparabrand simulizi forum tv,simulizi za sauti,#clamvevo #dontatv #stevemweusi #hadithi #hadithizakiswahili #simulizi #simulizinasauti
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: