UNICEF Tanzania yashirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma kufunga Intaneti ya kasi Wilaya ya Kondoa
Автор: Dr. Jabhera Matogoro
Загружено: 2025-08-14
Просмотров: 218
Chuo Kikuu cha Dodoma kimeshirikiana kimepokea fedha za mradi wa kufanikisha ufundishaji wa Kidigiti katika Shule za Msingi na Sekondari Wilaya ya Kondoa. Mradi huu unasimamiwa na Dkt. Jabhera Matogoro ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: