Magoli makali ya Yanga Princess 6-1 Amani Queens | Ligi Kuu ya Wanawake - 27/12/2023
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-12-27
Просмотров: 93372
Haya hapa magoli yote 6-1 kutoka kwa Yanga Princess ikiishushia Amani Queens ya Lindi katika mchezo wa Ligi ya Kuu ya Wanawake.
Wafungaji wa Magoli ya Yanga Princess ni Precious Christopher, Janeth Bundi, Noela Luhala na Madina Traole.
Na lile la Amani Queens limefungwa na Janeth Nyagali
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: