🔴 LIVE: YANAYOJIRI MKUTANO WA WAZIRI WA MADINI NA WANAHABARI DODOMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 1369
Utoaji wa Taarifa kwa Umma kuhusu Utekelezaji wa Ahadi za Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mafanikio ndani ya siku 100 za Serikali ya awamu ya sita (Muhula wa pili) leo ni zamu ya Mhe Anthony Mavunde Waziri wa Madini kuongea na Wanahabari Jijini Kwenye Ofisi za Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo kwenye mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: