UKIOTA NDOTO HIZI NYOTA YAKO NI KALI SANA!! WEWE SIO MTU WA KAWAIDA!!.
Автор: Apostle Deusi Sengo
Загружено: 2025-11-11
Просмотров: 32244
Ukiota ndoto hizi, nyota yako ni kali sana na inaonyesha wewe sio mtu wa kawaida!! ✨
Ndoto za kiroho zina maana kubwa na mara nyingi hubeba ishara za baraka, mafanikio na hatima yako.
Usijidharau — fahamu tafsiri ya ndoto zako na jinsi zinavyoweza kubadilisha maisha yako.
👉 Tazama video hii ili ujifunze zaidi kuhusu ndoto za kiroho, ishara za nyota kali, na maana ya ndoto katika Biblia.
0:00 – Utangulizi
1:13 – Ndoto ya Kwanza
2:42 – Ndoto ya Pili
4:22 – Ndoto ya Tatu
5:25 – Ndoto ya Nne
5:36 – Ndoto ya Tano
7:29 – Nini cha Kufanya
9:05 – Hitimisho
#maanayandoto
#ndotozakweli
#propheticdreams
#dreammeaning
#nenolamungu
#ndoto
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: