Balozi wa nyumba 10 auawa Geita, mwanawe ahusishwa na mauaji hayo
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-01-20
Просмотров: 407
Yohana Mihayo (60) aliyekuwa balozi wa nyumba 10 wa eneo la Sekondari Mwatulole kata ya Mwatulole halmashauri ya Mji Geita anadaiwa kuuawa na mtoto wake wa kiume Yona Mihayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.
Tukio hilo limetokea Ijumaa Januari 19, 2024 majira ya saa 3 asubuhi katika mtaa wa Mwatulole.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: