WAREMO WA MTWARA WAPAGAWA NA SHOW YA SALUH / WAIMBA NAE KWA HISIA KALI
Автор: GWIJI Tv
Загружено: 2025-12-02
Просмотров: 31
Usiku wa jana eneo la Triple V Mtwara lililipuka kwa burudani ya kiwango cha juu baada ya Msanii Saluh kutikisa jukwaa kwa show kali isiyosahaulika! Mashabiki walipagawa, wakawaka moto na kuimba kila wimbo mwanzo mpaka mwisho. Energy yake, performance kali na sauti ya kipekee viliifanya Triple V kuwa sehemu ya historia mpya ya burudani Mtwara.
🔥 Kama hukuwepo basi video hii ndiyo ushahidi — Saluh ametoka kivingine, mashabiki wakapagawa, na jiji likasimama!
Usisahau kulike, kushare na ku-subscribe kupata matukio mengine makubwa kama haya!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: