NG'ANDA AMCOS WAFANIKIWA KUKOMESHA MADALALI WA PARACHICHI WAUZA BEI NZURI MSIMU WA MAUAZO KUANZA MWE
Автор: NJOMBE TV
Загружено: 2025-11-04
Просмотров: 4154
WASILIANA NASI KWAAJILI YA MATANGAZO 0629100275
Baada ya wakulima wa parachichi mkoa wa Njombe kutafata suluhu ya changamoto ya zao la parachichi kwa muda mrefu bila mafanikio Hatimae chama cha wakulima cha Ng'anda wilayani wanging'ombe kimepata ufumbuzi wa changamoto hiyo na kufanikiwa kuzalisha faida kubwa kwa kipindi cha mika miwili sasa bila kupitia kwa madalali
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: