MAKALA MAALUMU: WIKI 9 ZA DK MWIGULU OFISI YA WAZIRI MKUU
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-01-18
Просмотров: 234
MAKALA hii maalumu inaangazia wiki tisa za Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba tangu alipoteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo. Aliteuliwa na kuapishwa Novemba 13, 2025 Bungeni, akiwa ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za serikali bungeni na mtendaji mkuu wa serikali, huku akitumika kama kiunganishi muhimu kati ya serikali na wananchi.
Tangu aanze rasmi majukumu yake, Dk. Nchemba ameonesha dhamira thabiti ya kuimarisha heshima ya utumishi wa umma, kukuza mshikamano wa kitaifa na kuenzi tunu za Taifa kama vile amani, umoja na upendo. Aidha, amesisitiza umuhimu wa uzalendo kwa Taifa kama msingi wa maendeleo na ustawi wa jamii.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: