MC PILIPILI AFARIKI DUNIA | FMB TV
Автор: FMB TV
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 70
MC Pilipili, mchekeshaji na mchungaji maarufu wa Tanzania, amefariki dunia ghafla tarehe 16 Novemba 2025 akiwa safarini kuelekea Dodoma.
Katika video hii, tunakuletea taarifa kamili kuhusu tukio la kifo chake, historia ya maisha yake kuanzia utotoni, safari ya sanaa ya vichekesho, hadi huduma yake ya kiroho kupitia Yesu Anaweza International Ministry.
Usisahau:
Subscribe kwa taarifa zaidi za wasanii na viongozi wa kiroho
Like & Share ili ujumbe huu uwafikie wengi
Comment kumbukumbu yako ya MC Pilipili au ujumbe wa pole kwa familia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: