MSAMBAZA CHAKULA ANAYEINGIZA MILIONI 10+, ANAMILIKI PIKIPIKI 21, KAAJIRI VIJANA 40, KAMALIZA UDOM
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-10-28
Просмотров: 51490
AyoTV imefanya mahojiano na Kijana Ali Jumanne ambaye amejiari Vijana 40 kwa kusambaza chakula kutoka kwenye migahawa na kupeleka kwa Watu ambapo anatumia Application ambayo ameibuni baada ya kukosa ajira, elimu yake ni degree ya IT ambayo ameipata Chuo Kikuu cha Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: