Hafla Ya Madrasatul Bayan Islamia - 2021
Автор: Abdalla Barghash
Загружено: 2021-04-29
Просмотров: 1537
Madrasa ya Bayan ni taasisi ilioko Shela kisiwani Lamu. Iko kwenye miongoni mwa misikiti mikongwe zaidi Lamu nao ni msikiti wa Deule uliojengwa upya mnamo mwaka wa 2009. Madrasa hii ni ya tahfidh Qu'ran ilianzishwa 2016 na wanafunzi wake wameweza kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya kuhifadhi Qur'an kwenye nyanja za kimataifa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: