HII NDIO HALI HALISI KWA WALIOJITOKEZA KUPIGA KURA MOROGOROMO , WATOA KAULI HIZI
Автор: WATETEZI TV
Загружено: 2025-10-29
Просмотров: 96
WANANCHI WA MORO WAITIKIA WITO WA KUPIGA KURA KWA AMANI
Ikiwa zoezi la upigaji kura linaendelea kote nchini, Jambo TV imefika katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, ili kujionea mwenendo wa zoezi hilo muhimu la kidemokrasia.
Wananchi waliohojiwa na Jambo TV wameeleza kuwa zoezi linaendelea kwa utulivu na amani, huku wakieleza kuridhishwa na maandalizi yaliyofanyika. Aidha, wametoa wito kwa wananchi wengine waliojiandikisha lakini bado hawajapiga kura, kujitokeza kwa wingi na kushiriki katika mchakato huo ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: