Kiwanda cha Kuzalisha vipuri na mashine mbalimbali - KMTC
Автор: NDC TV
Загружено: 2021-01-28
Просмотров: 753
Kiwanda hiki kinazalisha mashine mbalimbali ikiwemo za mbao, mashine za kusagia mahindi, mashine za kupukuchilia mahindi, vipuri vya aina mbali mbali kwa ajili ya viwanda, rims za matairi ya matrekta na matela ya matrekta. Pia kiwanda kina mpango wa kuanza uzalishaji wa minara ya kusambaza umeme kutoka kwenye gridi ya Taifa.
Gharama za utekelezaji wa mpango huo ni TZS 760,000,000 kwa ajili ya kuboresha galvanizing plant na TZS 1,600,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa tanuru la kuyeyushia chuma (foundry).
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: