Mali za Mgodi wa Buzwagi kupigwa mnada
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-02-21
Просмотров: 8446
Kama unakumbuka ilitangazwa kuwa Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi utafungwa kutokana na uzalishaji wake kushuka. Kutokana na hilo shughuli ya kuuza baadhi ya vitu imeanza na tayari umetangazwa mnda mkubwa wa kuuza vifaa vilivyokuwa vikitumika kwenye mgodi huo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: