Ahadi I Official Trailer (2021)
Автор: CineBox
Загружено: 2023-09-12
Просмотров: 194
Hans kijana yatima anarudi Dar kwa mara ya kwanza baada ya miaka Mingi kwa ajili ya mirathi ya Baba yake mzazi. Familia ya Baba yake (Mama wa Kufikia na kaka na dada upande wa Baba) yake inatambua Hans alikuwa akiishi nje ya nchi (Marekani) kwa kipindi chote ambacho yupo mbali na familia na ni mtu aliyekuwa na maisha mazuri tu na familia ya mke na watoto wawili wa kike mapacha. Ukweli ni kuwa Hans ni tapeli ukiachana na siri kubwa ambayo ameibeba.
Jifunze zaidi kupitia https://www.cinebox.co.tz/
Kwa habari zaidi, tu-follow mitandao ya Kijamii:
Instagram: https://www.instagram.com/cinebox_db
Twitter: http://twitter.com/cineboxdb
TikTok: https://www.tiktok.com/@cineboxdb
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: