Raudha Kids - Kwanini (Official Video)
Автор: Brother Masoud
Загружено: 15 июл. 2024 г.
Просмотров: 55 154 просмотра
Hii ni nasheed nyengine kutoka kwa watoto wa Raudha Kids wanao simamiwa na Brother Masoud.
Hii Nasheed inazungumzia mambo mabaya yanayo fanyika katika jamii zetu kama watoto wadogo kubakwa, Yatima kuteswa, dhulma katika Mirathi, walemavu kunyanyapaliwa, wagonjwa kubugudhiwa na kukoseshwa matibabu, Baba kunyanyasa familia (mke na watoto), watoto kufanyiwa liwatwi (kuliwatiwa) n.k
Lakini baada ya yote hayo ni kwa wale wanao simama kidete kufuatilia wahalifu kufuatilia hawa wanayo yafanya haya mabaya tulio yataja hapo juu basi wao ndio hukamatwa na kuadhibiwa na wengine kupoteza Maisha.
Ila tunamuomba Allah atusimamie 🤲
imeandikwa na Brother Masoud na kughaniwa na Raudha Kids.
#nasheed #raudhakids #bm #brothermasoud #swahiliWorldwide #swahiliNasheed

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: