Kocha wa Simba Matola asema kesho wanakwenda kushinda mbele ya Mbeya City
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 477
SIMBA vs MBEYA CITY: Kocha wa Simba SC, Selemani Matola anasema pamoja na ugumu watakaokuja nao Mbeya City kwenye mchezo wao wa kesho lakini watahakikisha wanapata alama tatu.
Matola anasema kwa sasa mkazo wameuweka kwenye NBC Premier League na wanaichukulia mechi yao dhidi ya Mbeya City ni mechi kubwa.
Matola anasema kesho anakwenda kushinda.
Kwa upande wake beki wa timu hiyo David Kameta ‘Duchu’ anasema timu yao imejiandaa vema kuikabili mechi ya kesho.
Mechi itapigwa saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPremierLeague
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: